Sunday, April 28, 2013

LIGI YA MKOA WA KIGOMA FINAL

LIGI YA MKOA WA KIGOMA
Leo zilipigwa game mbili za nusu final game ya kwanza ilikuwa kati ya saigon fc waliocheza na nyundo fc ya mnanila matokeo nyundo fc ya mnanila walipigwa bao nne kwa moja na game ya pili ilikuwa kati ya mvuvuma fc ya kiganza na ujiji kids ya ujiji. mpaka hlaf time mvuvuma walikuwa wanaongoza kwa 1-0 kipindi cha pili aliingia mchezaji hatari mzambia na kusawazisha goli lkn dk ya 75 mchezaji waujiji stefano alipigwa card nyekundu na kuipa wakati mgumu timu ujiji kwa kuwa nusu na ndipo dk ya 80 waliongezwa goli na kudumu mpaka dk ya 90 mpila ulipo kwisha ujiji walipigwa bao mbili kwa moja na final itawakututanisha saigon na mvuvuma itachezwa tarehe 30/4

Friday, April 26, 2013

LIGI YA MKOA MKOA WA KIGOMA MATOKEO YA LEO

                                LIGI YA MKOA MKOA WA KIGOMA MATOKEO YA LEO 
        Leo tarehe 26 ligi ya mkoa, mkoa wa kigoma imeendelea  kwa timu ya gungu ranger kunyang'anywa point tatu baada ya kukataa kukaguliwa fomu na refa ree ndipo refa alipo subili kwa dakika kumi na tano baada ya hapo alimaliza mechi na kuwapa point tatu na goli mbili timu ya beach boys lakini pamoja na hayo jion kulikuwa kuna mechi kali kati ya UJIJI KIDS na SAIGON FC na mechi kuisha kwa matokeo ya 1-1. saigon walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 60 baada ya beki wa UJIJI kujifunga na baada ya dk 10 mshambuliaji hatari wa ujiji WILSON MWANGATA MSOGOTI akitokea bench anaisawazishia goli na mpila kumalizika kwa goli la moja moja hivyo kundi a anapita saigon mwenye point nane mbele ya ujiji mwenye point hizo hizo nane akiwa amezidiwa goli 3 na saigon

Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEWS: R.I.P Bi.Kidude

BREAKING NEWS: R.I.P Bi.Kidude
Msanii nguli wa Muziki wa Taarab asili kutokea visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki dunia leo huko Zanzibar.

Thursday, April 11, 2013

Fal guy? Manchester United's move for Radamel Falcao places Rooney's future in fresh doubt

Fal guy? Manchester United's move for Radamel Falcao places Rooney's future in fresh doubt

Champions-elect are reportedly already talking to Atletico Madrid about £50m-rated striker who's been linked with rivals Man City and Chelsea
One in, one out? Paris Saint-Germain's owner is a Rooney fan
One in, one out? Paris Saint-Germain's owner is a Rooney fan
PA
Manchester United have made it a three-way Premier League battle to sign Atletico Madrid's £50million-rated striker Radamel Falcao.
United's interest in the 27-year-old will place another question over the future of Wayne Rooney, who could find himself offloaded at the end of the season.
Despite Falcao having a buy-out clause of £50m in his current contract, United believe they could land the in-demand striker for around £35m this summer - ahead of Manchester City and Chelsea.
Reports in Spain claim preliminary discussions have begun between Atletico and United over a potential deal for the South American star.
Falcao is represented by Portuguese agent Jorge Mendes, whose clients include current United players Anderson and Nani and their former star man Cristiano Ronaldo, now at Real Madrid.
United believe their relationship with Mendes can give them an edge in the pursuit of Falcao, and help overcome the tricky issue of his ownership rights.
Atletico paid £32m to sign the Colombia international from Porto two years ago, but as much as half of that fee is said to have been provided by a third-party investment fund which Mendes is part of.
Falcao has plundered a remarkable 136 goals in 170 appearances for Porto and Atletico in his four full seasons in Europe and is regarded as one of the deadliest strikers in Europe.
Rooney, after a season which has seen him score 16 goals but has been plagued by injury, illness and indifferent form, could make way for Falcao.
Mega-rich Paris Saint-Germain are ready to offer him a way out with a £30m bid and although Ferguson has claimed there is no way Rooney will be sold, a big offer for the 27-year-old could see him leave.
Interestingly, Falcao is demanding less than half of the Englishman's current £250,000-a-week wages - an important factor as teams wrestle with the implications of Financial Fair Play.

Super Mario: Arsenal and Manchester City ready to move for Borussia Dortmund playmaker Goetze

Super Mario: Arsenal and Manchester City ready to move for Borussia Dortmund playmaker Goetze

German engineering: Goetze impressed against City in the Champions League
Borussia Dortmund schemer Mario Goetze is a summer target for Manchester City and Arsenal, according to German sports magazine Kicker.
The 20-year-old attacking midfielder has had another impressive season that has seen Dortmund reach the semi-finals of the Champions League after claiming the Bundesliga title last season.
You can get the full lowdown on Germany's rising star from our Bundesliga expert's scouting report.
Manchester City are reportedly prepared to meet the German international's €40million release clause with the Gunners also interested - although they are unlikely to be able to compete with the Blues in the financial stakes.
Goetze's performances against City in the group stages of the Champions League have attracted the attention of sporting director Txiki Begiristain who is understood to have met with the player's representatives.
Arsene Wenger has been a long-term admirer of player in his search to replace Cesc Fabregas as the creative force in his team.
Manchester United have also been linked with Goetze in the past but appear to have made Atletico Madrid's £50million-rated striker Radamel Falcao their top priority.
Goetze is under contract until 2016 but would be allowed to leave in June 2013 if his realease clause is met. Neither the player nor his advisers were available to speak to Kicker on Wednesday.

VETA KIGOMA WAKIJIANDAA KWENDA MASHINDANO YA KANDA SHINYANGA




 MAZOEZI TUKIJIANDA JANA BAADA YA KUSHINDA MBILI MOJA DHIDI YA NEW MAN


HAYA NDO MAZOEZI VIJANA WA VETA YALIYOSABABISHA WAKASHINDA 2-1
                               VETA KIGOMA WAKIWA MAZOEZINSTRIKER WILSONY MWANGATA,WINGA ABDULI CHAWE NAFULL BACK FRANSIC EMANUELI