Waziri Mazrui Atia Saini Mkataba Wa Nembo Ya Karafuu Zanzibar
Waziri Mazrui Atia Saini Mkataba Wa Nembo Ya Karafuu Zanzibar
-Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika
hafla ya kutiliana saini Mkataba wa Uwekaji wa Nembo ya Karafuu ambayo
itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar.kulia yake ni Naibu Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Edington Kisasi na kushoto yake
ni Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za
Ubunifu(WIPO)Neema Nyerere
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui
(kushoto)akibadilishana Nyaraka za Utiaji Saini Mkataba wa Uwekaji wa
Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya Zanzibar na
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu(WIPO)Neema
Nyerere,hapo katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Mwakilishi
wa Shirika la Kimataifa la Kulinda Haki za Ubunifu(WIPO)Neema
Nyerere.akizungumza katika ya kutiliana saini Mkataba wa Uwekaji wa
Nembo ya Karafuu ambayo itatumika katika Zao la Karafuu ya
Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed
Mazrui na kushoto yake ni Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha
Biashara(ITC)Jacky Charbo Nneau.
No comments:
Post a Comment