Naibu Waziri Ujenzi Akagua Maendeleo Ya Miradi Ya Ujenzi Wa Barabara Leo Jijini Dar
Naibu
waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge (kushoto) akitoa maelekezo kwa
mkandarasi anayejenga barabara inayopita eneo la Jangwani,Kigogo na kuelekea kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha ubungo yenye urefu wa km 6.4 Injinia Abdul Kimaro (kulia kwa naibu waziri) leo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara jijini Dar es salaam.
Mhandisi
wa Miradi kutoka wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Ntije Nkolante
(kulia) akimwonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge (aliyenyosha
mkono kushoto) sehemu ya mwinuko ambayo iko kwenye
matengenezo katika barabara iendayo Yombo Vituka yenye urefu wa kilometa
10.3 inayojengwa na kampuni ya Nyanza Roads Work leo jijini Dar es
salaam.
Sehemu
ya barabara ya Yombo Vituka ambayo ujenzi wake umekamilika yenye urefu
wa kilometa 10.3 inayojengwa na kampuni ya Nyanza Roads Work jijini Dar
es salaam.
No comments:
Post a Comment